[emoji57][emoji57][emoji57]Kwendraaa uko
wacha kabisaa, kwa miuno ya kingoni [emoji51] [emoji51] [emoji51] diamond anajua tunataka nn wakina sisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaka halafu we muhuni umenikumbusha club hiyo nyimbo ikipigwa hakukaliki
inama inama[emoji51] [emoji51] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaka halafu we muhuni umenikumbusha club hiyo nyimbo ikipigwa hakukaliki
Hahaha we mtamu acha kubishaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm nakwambia ukweli nakutengeneza kisaikolojia ili usipate stress utakapokutana na shunie og hutaki
wacha kabisaa, kwa miuno ya kingoni [emoji51] [emoji51] [emoji51] diamond anajua tunataka nn wakina sisi
Kweli kwa style ya majibu haya MTU,uende si unafukuzwa na kijizawadi chako ?haya siku njemaHapo katikati
Hahaha kweliSema kweli jamani unanijaza mpaka nataka kupasuka
Habari gani tena hizo?Hapana wewe ndio umeleta hizi mambo hata ukiambiwa uje utaanza mambo yako toka ulivyoanza habari zako zile acha tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Woyoooooo kibonge mm nimepatikana jamani