Happy birthday Mzigua90

Happy birthday Mzigua90

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaka halafu we muhuni umenikumbusha club hiyo nyimbo ikipigwa hakukaliki
wacha kabisaa, kwa miuno ya kingoni [emoji51] [emoji51] [emoji51] diamond anajua tunataka nn wakina sisi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm nakwambia ukweli nakutengeneza kisaikolojia ili usipate stress utakapokutana na shunie og hutaki
Hahaha we mtamu acha kubishaa
 
Kisha nibembeleze nirudishe utotoni weka mate niteleze kama nyoka pangoni wooooooozeeeeerrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]ooh Bebe basi dance kidogo kwangwaru
wacha kabisaa, kwa miuno ya kingoni [emoji51] [emoji51] [emoji51] diamond anajua tunataka nn wakina sisi
 
Kweli kwa style ya majibu haya MTU,uende si unafukuzwa na kijizawadi chako ?haya siku njema
Hapana wewe ndio umeleta hizi mambo hata ukiambiwa uje utaanza mambo yako toka ulivyoanza habari zako zile acha tu
 
Back
Top Bottom