Happy birthday Mzigua90

Ndugu wajumbe, samahani kwa kuchelewa kufika kwenye uzi huu...
Naomba kuwasilisha
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Asante mke mwenza
uishi miaka mingi mke wangu, kila siku nakuona kama mpya nashukuru kwa zawadi hii ya kipekee jioni nitakulete funguo ya zawadi yako muurua kabisa nimeaandaa kwa ajili yako,, natamani wanaume wote wa humu wafe wote isipokuwa mimi,,tubaki mimi na ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…