Happy birthday Mzigua90

Happy birthday Mzigua90

Nialikeni huko nije. Ila nitaondoka na mzigua nikampe kash kash
Two stand night
 
Kisha nibembeleze nirudishe utotoni weka mate niteleze kama nyoka pangoni wooooooozeeeeerrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]ooh Bebe basi dance kidogo kwangwaru
unataka kucheza chura na ingali umesimama,,, aaa inama inama,,, asa waonyenyeee,,, aa inama inama,, unachezajee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Happy Birthday cute Mzigua.... Uwe na Maisha marefu na yenye furaha tele.
 
unataka kucheza chura na ingali umesimama,,, aaa inama inama,,, asa waonyenyeee,,, aa inama inama,, unachezajee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
si unataka vya pool table asa mbona unajibana aaa inama inama asa waonyeshe unalengajeee[emoji23]
Woooooooozeeeeeer mambo ni kuinama inama tu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Yameshapita hayo kuna mambo mambo zako ulikuwa unaziongea sijazielewa nisiwe muongo
Mambo mengi ,nimesahau ,ila km nilikukwaza nisamehe [emoji120] [emoji120] ,nikuombe msamaha [emoji120] [emoji120] ,sikua na NIA hy hata Mara moja
 
Usijali kuwa na amani
Hakuna km kitu sipendi km kumuudhi MTU,au nifanye kitu MTU atafsiri tofauti ,hasa akiwa mtoto wa kike ,hasa humu mitandaoni,dah asee nahisi nimekosa sana ,ngoja nibaki msomaji [emoji120] [emoji120]
 
Umeona sasa unapenda kukuza vitu aisee usiwe hivyo
Hakuna km kitu sipendi km kumuudhi MTU,au nifanye kitu MTU atafsiri tofauti ,hasa akiwa mtoto wa kike ,hasa humu mitandaoni,dah asee nahisi nimekosa sana ,ngoja nibaki msomaji [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom