Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Amen mkuuHappy birthday kwako, Mungu akupe maisha marefu zaidi na si marefu tu bali yenye furaha na amani.
Miaka mingi sana ila sijaolewa nina mtoto very handsomeKafikisha miaka mingapi huyu?Ameolewa?Ana mtoto?Ni beautiful?
'kaka yake na Demiss hapa'
Lol.. sijafika huko bado mkuu [emoji23][emoji23]Thru her writing atakua ameingiza 33&34
Asante kaka mzuri.. leo napita mkoa wako. Zawadi napokea kwenye ile namba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Happy bdy kwake Dada mzuri
Asante mkuuHappy birthday mzigua....
Many years to you.
Thank you bebe
Asante mkwe wangu.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mishkaki inabidi tupangeHappy bday mkwe wa ukweli mzuri mzuri uishi miaka mingii...msiniache kwenye mishikaki@shunie
Heri ya kuzaliwa mdada, nikutakie mafanikio mema kwa miaka mingine utakayopewa na Mungu na daima udumu kumtegemea yeye pekee
Happy birthday lady
Asanteni wakuuHii avatary yake ya sasa imebadili fikra zangu kwake namna alivyo.
Happy birthday kwako. Miaka yote ya furaha na aman ujaaliwe.
Cc Mzigua90
Wishing all the smiles
and Happy moments
that your deserve
on your special day!
Happy birthday to you!
Asante darlingsMungu akutimizie hitaji jema moyoni mwako HB to u
Mchumba unazeeka vibaya. Shunie katokea wapi sasa?
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jina haliwapi clue?
Asante mke mwenzangu.Happy birthday mrembo