Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisahau babu. Happy birthday twin wangu.Kumbe hukumbuki babu naye ya kwake leo? Amenituma nikueleze anavyokumiss. Nduki
Sijaelewa dear ila acha niseme asante [emoji23][emoji23][emoji23]Feliz cumpleaños señorita..!![emoji7]
Asante mpenziHappy birthday to you mrembo wangu. Mungu akujaalie kheri na baraka..
Sakayo loves you
Asante kipenziiHappy Birthday kabinti kazuri Mzigua90
Asante wifiHappy birthday Mama Li
Singapore visa kuprocess ndo shida.Dada mzuri nipo Singapore fika huku nikutwange na mizawadi ya hapibesdei tuyuuu
Asante mkuuHappy born day Mzigua90
Asante wifi shangaziHappy birthday WiFi ake
Kheri ya siku ya kuzaliwa Mzigua90
happy birthday binti wa tanga be blessed Mzigua90
happy birthday Mzigua90 more lifee.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] unamarafiki wengi bibieHappy birthday wakunyumba wangu, rafiki yangu kipenzi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]mie na wewe tunajuana wenyewe [emoji847] nakuombea kwa Mungu akupe kila hitaji lako la moyo litimie kwa wakati.. Akuepushe na husda za walimwengu.
Happy birthday mama Li [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nitarudi acha niendelee na lindo babe.
Tukikutana maeneo yetu ya kujidai niko na bucket yako hapa [emoji4]
😂😂😂Sijaelewa dear ila acha niseme asante [emoji23][emoji23][emoji23]Asante mpenziAsante kipenziiAsante wifiSingapore visa kuprocess ndo shida.
Ungetuma tu na weweAsante mkuuAsante wifi shangazi
Anhaaa.. lugha hizi si unajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemaanisha 'Happy Birthday Lady',..!!
Anhaaa.. lugha hizi si unajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]