Kafikisha miaka mingapi huyu?Ameolewa?Ana mtoto?Ni beautiful?
'kaka yake na Demiss hapa'
Utawasiliana na mzigua basi
Happy birthday WiFi ake
Dada mzuri nipo Singapore fika huku nikutwange na mizawadi ya hapibesdei tuyuuuAsante kaka mzuri.. leo napita mkoa wako. Zawadi napokea kwenye ile namba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakuja tu sina namna!!!si kwa uroho huu!!!Hahahhaha ndio unachowaza kwahiyo utakuja kutoka kijijini kwako
Si unaijua mitaa yetu ya kujidai mama
HahaaaaaNa mie jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja niulizeKama kuna Birthday party unicheck twende wote
DadaaaaaHahaaaaa