Happy birthday Mzigua90

Happy Birthday Mzigua90.
Uishi sana ukiwa na afya tele na mafanikio mema kiasi cha matamanio yako.
 
Hbd mkwe nakuita mgodi unaotembea dear,Shunie kanipa habari zako,mambo yangu hayako vzr ntakuja kukuungisha dear!!Mungu akawe nawe ktk hali zote na akulinde na maadui!Dada mzuri kila kona kuanzia,Sura,shepu mpk akili bwana wee!!mashallah mashallah!binti wa mwanya!we dada mrembo bwana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…