Happy birthday Naseeb a.k.a Dangote, sijui yeye Atapewa PrivateJet leo

Je inaongeza thamani yoyote katika maisha ya mwanao? (Huu ni Utani pia, Usije ukanitolea povu bure)

ubaya kutoa povu siwezi......binafsi naona inaongeza haswa kwa mim mama.......siku hii pamoja na kumfanyia party kidogo.....uwa naenda nae kanisani kumshukuru Mungu........
 
ubaya kutoa povu siwezi......binafsi naona inaongeza haswa kwa mim mama.......siku hii pamoja na kumfanyia party kidogo.....uwa naenda nae kanisani kumshukuru Mungu........

Safi sana, kumjua Mungu mapema angali mdogo ni muhimu kwa makuzi ya watoto
 
Mwenye ukweli kuhusu Pesa anazomiliki huyu Dogo atuambie kuna wengine wanasema anamiliki billion 2 je kweli?
 
petiii wakuacheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

b dozen na vanessa

HB Kifesi in tha house

sare sare maaaua asiyejua kuchaguaaaa kweli wa mkoani ni wa mkoani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…