sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
Mungu amkuze katika Hekima yake.
amen.....nashukuru sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu amkuze katika Hekima yake.
wema katoa zawadi gani?Mhhhh busu tu
Mungu amkuze mwanao awe mtu muhimu sana na alete mabadiliko chanya katika hili taifa la uongofu.
managment ya diamondHii gari katoa nan...?
wema katoa zawadi gani?
yani ni mwendo wa BMW tu.maua waachie nyuki
Je inaongeza thamani yoyote katika maisha ya mwanao? (Huu ni Utani pia, Usije ukanitolea povu bure)
ubaya kutoa povu siwezi......binafsi naona inaongeza haswa kwa mim mama.......siku hii pamoja na kumfanyia party kidogo.....uwa naenda nae kanisani kumshukuru Mungu........
Mhhhh busu tu
Sio watu wazuri nyie
Safi sana, kumjua Mungu mapema angali mdogo ni muhimu kwa makuzi ya watoto