Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Nimemuona huko kwenye uzi wa utenguzi wa nape!
Yuko stressed sana ingawa hajanifikia mimi.........

Ningependekeza kwa heshima yake tuandae siku special tumtakie happy birthday tukiwa hatuna stress.....ikiwezekana hata wiki ijayo

Unaonaje Nifah ?

Ila kwa leo happy birthday to you
 
Huyu shemeji tutamtumbua CC: Nifah.
 
hakuna muoaji hapa jamaa blah blah tu huyu nifah nae akiona huu ujumbe chupi mkononi ! ni kugegedwa kwa mkopo mwazo mwisho cc@miss chaga
Hahahaha.. Yani hii hasira niliyoipata ngoja niihifadhi birthday iishe.. alafu uone utumbuaji nitakaokufania.!
 
Kumbe kuna kinachoendelea ndio maana kumbe ukiiwa unatage watu mastori jina lake ndo la1 kabisa happy born kwake ila nimepata wivu gafla yani

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Yeah.! Kwenye taglist she is the first.. Si unajua tena, yeye ndio first thought linalonijia nikifanya chochote
 
Kumbe ni true love... Mimi huwa najua ni Mapenzi ya jf basi, yawezekana hata hamfahamiani... Kama ni kweli basi nyie ni mfano wa kuigwa... Happy Birthday... Mwanajangwani mwenzangu
mapenzi gani anamgegeda mwaka wa tano huu hata mahari hatoi jamani?
 
Kumbe ni true love... Mimi huwa najua ni Mapenzi ya jf basi, yawezekana hata hamfahamiani... Kama ni kweli basi nyie ni mfano wa kuigwa... Happy Birthday... Mwanajangwani mwenzangu
Ni mubashara kabisa Mkuu! She is my woman, and am his man.. No drama
Soon pilau
 
Mkuu ungeeweka hata kapicha kusupot maana hata kule kwa Bwana msa wameweka kakapicha na maneno Yanasomeka "no long at ease"
 
usiusemee moyo ndugu yangu hatujui kesho na wote tulifikiria hivyo ila.....
 
Mkuu ungeeweka hata kapicha kusupot maana hata kule kwa Bwana msa wameweka kakapicha na maneno Yanasomeka "no long at ease"
Ngoja nifanye makeke.. Picha mubashara inakuja! Ila face naicrop [emoji3] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…