Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
-
- #121
Awww!! Yale mapocho pocho ya juzi yalikuwa balaa.. Ngoja nijitutumue niingine jikoni leoNifah happy birthday mama...
The Bold leo umeandaa nini kwa mamsap wako? Natamani yale mapishi yake ya kuku juzi lol
Hahahahah... Umeona shemeji.! Wanajifanya kujificha ficha wakati mtego wao mdogo tuHhahah kweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu,
Final nimekupata aiseee
Hujambow miss valley?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha haa wala hujanipata... Umenifananisha wewe[emoji12]
Ulipotea sana aisee.. Umepitwa na mengi!Wow!!!!! Ww H kweli nilikua mbali mengi yamenipita.....
Happy birthday Nifah,
Me ni wifi yako, karibu.
AmenShukrani Shem.. Furaha ya dada yenu ndio mission ya maisha yangu!
Hhhhahaa huna loloteHa haa wala hujanipata... Umenifananisha wewe[emoji12]
Kabisaa yaani, kibaya wanasahau mapema hawajui kama wamezungukwa na vipepeo weusi kila kona, mda, saa yyte tukihitaji taarifa yako tunaipataHahahahah... Umeona shemeji.! Wanajifanya kujificha ficha wakati mtego wao mdogo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kabisaa yaani, kibaya wanasahau mapema hawajui kama wamezungukwa na vipepeo weusi kila kona, mda, saa yyte tukihitaji taarifa yako tunaipata
Valley yule ni mdogo wangu tu... Ukimuona popote msalimie mwambie familia tumemmissHhhhahaa huna lolote
sasa hapa ndo nakuamini hahaha nilikuwana................dhani,,,,,,,,,,,,,,,,, ahahaha😡😡😡😡😡Amen
I agree [emoji817] leo tumevurugwaNimemuona huko kwenye uzi wa utenguzi wa nape!
Yuko stressed sana ingawa hajanifikia mimi.........
Ningependekeza kwa heshima yake tuandae siku special tumtakie happy birthday tukiwa hatuna stress.....ikiwezekana hata wiki ijayo
Unaonaje Nifah ?
Ila kwa leo happy birthday to you
Kabisa.. Leo watu wana hasira na NgoshaI agree [emoji817] leo tumevurugwa
Shukrani Mkuu [emoji120]I sincerely commend you for such brilliant observation to our sister.
Nitakupost mdogo wangu..Happy birthday shemela Nifaah....
Msinisahau kwenye kula ubwabwa.
1st April ni HBD yangu sijui nitapata wa kunipost na mm