Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Happy Birthday Nifah, Cheupe wangu..

Nifah happy birthday mama...

The Bold leo umeandaa nini kwa mamsap wako? Natamani yale mapishi yake ya kuku juzi lol
Awww!! Yale mapocho pocho ya juzi yalikuwa balaa.. Ngoja nijitutumue niingine jikoni leo
 
Wow!!!!! Ww H kweli nilikua mbali mengi yamenipita.....

Happy birthday Nifah,
Me ni wifi yako, karibu.
Ulipotea sana aisee.. Umepitwa na mengi!

I can imagine mshangao ulionao, maana kipindi kile ulipoondoka humu ulituacha mimi na Nifah maadui wakubwa kama Marekani na Al-qaida.. [emoji23] [emoji23]
 
Happy birthday [emoji512] darling Nifah more life[emoji4] [emoji4]... Najua Mungu ashakupa vyote vyamuhimu kwako na kama vipo ambavyo bado najua vipo njian.. He did it before he will do it again for you...
All the best beautiful [emoji8]
 
Nimemuona huko kwenye uzi wa utenguzi wa nape!
Yuko stressed sana ingawa hajanifikia mimi.........

Ningependekeza kwa heshima yake tuandae siku special tumtakie happy birthday tukiwa hatuna stress.....ikiwezekana hata wiki ijayo

Unaonaje Nifah ?

Ila kwa leo happy birthday to you
I agree [emoji817] leo tumevurugwa
 
Back
Top Bottom