Happy birthday Noela William Malecela

Status
Not open for further replies.
Uko vizur noel lemutuz the big show
Mt

Mtoto wa lemutuz huyo aka baba swalehe
Ila si vizuri kuingiza watoto katika ugomvi wa wazazi. Hii haikubaliki maana mtoto ni wa watu wawili. Mkigombana hata kuparurana lazima watoto wawe pembeni. Hii naona kama ni mama kujalibu kumchapa baba kwa kutumia mgongo wa mtoto. Namkumbusha mama kuwa akumbuke huyu ni binti na mabinti na baba zao we acha tu. Siku ya siku atarudi kwa baba na iwe ni aibu. Kwake Le mutuz njia iliyo sahihi ni kukaa kimya ila usisahau kutuma hata happy birthday kwa mtoto uliyempata kwa raha zako na wala hakukuomba umlete duniani.
 

Teh Teh....
 
Teh teh teh, ngoja nisicoment chochote kuhusu huyu Le baharia maana niishi na kifungo cha nje
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kushabikia upumbavu wa wenza wawili ambao ni watu wazima halafu wanaleta upumbavu wao mitandaoni ili ushadadiwe na watoto wadogo wengine sawa na watoto wao wa kuwazaa. Kwanini mtoto aingizwe kwenye mambo kama haya?! Mzazi mwenye busara hata kama atakuwa na ugomvi na namna gani na mwenza mwenzie katu hatathubutu kumweka mtoto katikati ya ugomvi huo! Mzazi mwenye busara will never make his/her daughter decide who's better btn dad and mom!

Busara ya Le Mutuz nitaipa credit kwa kuipotezea hii thread.
 
Mbona kama sikuelewi?au wewe ndio hujaelewa mada?
 
Kwanza unajua case mtanga kama ni mwanaume , akili ya lemutuz ilimtuma kuamini case mtanga ni mkewe tu baada ya kupugwa madongo ya ukweli wa ndani so pls enjoy the movie hapa sio ugomvi wa mune na mke ila ni jinsi tu ya kumrekebisha tu le mtu mzima ovyo
 
Mbona kama sikuelewi?au wewe ndio hujaelewa mada?
Kuna member humu anajiita Case Mtanga. Huenda hujawahi kukutana na threads zake kuhusu Le Mutuz vinginevyo ungenielewa. Au stay tuned si ajabu Le Mutuz akatimba na hapo ndipo utanielewa haidhuru hata kama case mwenyewe anadai kwamba Case Mtanga ni mwanaume! But all in all, am not happy with 16 years old kid kujikuta katikati ya malumbano ya watu ambao si ajabu wote ni wa karibu kwake! Mambo yenyewe ya digitali haya; si ajabu Noella mwenyewe tunae kwenye huu uzi.
 
Hahahahaha ukiona watu wanakuongelea sana ujue umewazidi kila kitu and the good thing is i am making millions of money out of it, ni kula batazz tu na super mutindiz downtown bongo back to back, ndio faida ya kuwa akili kubwazz, le three degrees. No time for super gademu mbululaz

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…