Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko vizur noel lemutuz the big show
Ila si vizuri kuingiza watoto katika ugomvi wa wazazi. Hii haikubaliki maana mtoto ni wa watu wawili. Mkigombana hata kuparurana lazima watoto wawe pembeni. Hii naona kama ni mama kujalibu kumchapa baba kwa kutumia mgongo wa mtoto. Namkumbusha mama kuwa akumbuke huyu ni binti na mabinti na baba zao we acha tu. Siku ya siku atarudi kwa baba na iwe ni aibu. Kwake Le mutuz njia iliyo sahihi ni kukaa kimya ila usisahau kutuma hata happy birthday kwa mtoto uliyempata kwa raha zako na wala hakukuomba umlete duniani.Mt
Mtoto wa lemutuz huyo aka baba swalehe
MSAGA SUMU tunataka remix ya hii kitu ,Case Mtanga Niaje ? Baba Swalehe Katisha sana ,Ni mtoto wa Super Mogul Bilionea? W. J. Malecela? Kama ndiye katisha.Daaah hii habari angeileta MSAGA SUMU mbavu zingekuwa zinaniuma sasa.
Kweli nilitamani angemtumia PM MSAGA SUMU angei draft vizuri ....daaa Baba Swalehe kazi anayo...Daaah hii habari angeileta MSAGA SUMU mbavu zingekuwa zinaniuma sasa.
Hahahahaha .....Namsubiri kwa hamu ukiniona humu ujue nimeshamtaarishia madongo yake.
Binti pekee wa baba swalehe ametimiza miaka 16 lakini baba swalehe ndio hivyo tena hata hajali yeye yuko busy tu na upambe tu kwa wanaume wenye pesa na kuomba omba kupiga picha na mademu clubs na kupost utumbo instagram, cheki hapo mtoto anadai zawadi ya gari na mama hapo anawaambia ndugu zake wafanye maarifa ya zawadi yani inamaanisha yule baba swalehe wameshamsahau wanamuachia tu aadhirike hadi afe na pressyre kwenye club na vijitoto kama mwanawe haha,baba swalehe tunaomba ujitambue mwaka huu unatimiza 59yrs yani umempita hata magufuli,membe yani hapo nakaribiana na Lowassa lakini bado unajiona umri wako kama dogo Asley jamani khaa pole shauri yako.
Poa sana nitafurahi zaidi msaga sumu akitaka kuiremix cause nina nondo zaidiMSAGA SUMU tunataka remix ya hii kitu ,Case Mtanga Niaje ? Baba Swalehe Katisha sana ,Ni mtoto wa Super Mogul Bilionea? W. J. Malecela? Kama ndiye katisha.
HahahahahaTena angalia hili babu rojorojo nyemtumbo ana wish watoto wa wanaume wenzie happy birthday na wa kwake hata sms ameshindwa duh kweli huyu baba swalehe View attachment 319557
Mbona kama sikuelewi?au wewe ndio hujaelewa mada?Nitakuwa mtu wa mwisho kushabikia upumbavu wa wenza wawili ambao ni watu wazima halafu wanaleta upumbavu wao mitandaoni ili ushadadiwe na watoto wadogo wengine sawa na watoto wao wa kuwazaa. Kwanini mtoto aingizwe kwenye mambo kama haya?! Mzazi mwenye busara hata kama atakuwa na ugomvi na namna gani na mwenza mwenzie katu hatathubutu kumweka mtoto katikati ya ugomvi huo! Mzazi mwenye busara will never make his/her daughter decide who's better btn dad and mom!
Busara ya Le Mutuz nitaipa credit kwa kuipotezea hii thread.
Kwanza unajua case mtanga kama ni mwanaume , akili ya lemutuz ilimtuma kuamini case mtanga ni mkewe tu baada ya kupugwa madongo ya ukweli wa ndani so pls enjoy the movie hapa sio ugomvi wa mune na mke ila ni jinsi tu ya kumrekebisha tu le mtu mzima ovyoNitakuwa mtu wa mwisho kushabikia upumbavu wa wenza wawili ambao ni watu wazima halafu wanaleta upumbavu wao mitandaoni ili ushadadiwe na watoto wadogo wengine sawa na watoto wao wa kuwazaa. Kwanini mtoto aingizwe kwenye mambo kama haya?! Mzazi mwenye busara hata kama atakuwa na ugomvi na namna gani na mwenza mwenzie katu hatathubutu kumweka mtoto katikati ya ugomvi huo! Mzazi mwenye busara will never make his/her daughter decide who's better btn dad and mom!
Busara ya Le Mutuz nitaipa credit kwa kuipotezea hii thread.
Kuna member humu anajiita Case Mtanga. Huenda hujawahi kukutana na threads zake kuhusu Le Mutuz vinginevyo ungenielewa. Au stay tuned si ajabu Le Mutuz akatimba na hapo ndipo utanielewa haidhuru hata kama case mwenyewe anadai kwamba Case Mtanga ni mwanaume! But all in all, am not happy with 16 years old kid kujikuta katikati ya malumbano ya watu ambao si ajabu wote ni wa karibu kwake! Mambo yenyewe ya digitali haya; si ajabu Noella mwenyewe tunae kwenye huu uzi.Mbona kama sikuelewi?au wewe ndio hujaelewa mada?