Happy birthday Noela William Malecela

Status
Not open for further replies.
Baba Salehe (59 yrs) = kijana Le Mutuz?
 

- hahahahaha maumivu ya kuachwa miaka 5 after bado unalia lia kwenye mitandao, unanipa nguvu ya kuamini sikukosea pole sana ila mimi naendelea na maisha kama kawa kama unavyonisoma kwenye Social Media, hahahahahaha pole sana I hope Wadada wanajifunza hapa kutoka kwako kwamba ni makosa kuchezea a good man like me maana haijawahi kutokea Mwanamke umemuwacha miaka 5 lakini hakubali tu analia lia kila mahali, wadanganye wajinga wenzako kwamba wewe ni mwanaume sijui nani, wewe unajua kwamba nakujua ni Neema Ngwilulupi, nilishakusahau unahangaika bure umemuona my baby jipime kama unaingia hata robo hahahahahaha pole sana muombe Mungu atakusaidia upate mume tena hahahahahahah

le Mutuz
 
Baba Salehe (59 yrs) = kijana Le Mutuz?

- Kwanza nilikuwa na miaka 61, nikawa 54, nikawa 51, nikawa 55, leo nimekuwa 59 hahahahahaha hebu kubalinaneni nina miaka mingapi? hahahahahapoleni sana hapani kazi tu maisha yanaenda mbele siangalii nyuma, soon to Dubai for Emirates Airlines nikirudi Lagos, hahahahaha I love it!!

le Big Show
 
Pole sana ndugu. Hili sakata lenu ni somo kubwa sana kwangu ambaye sijaoa. Mungu akutangulie.
 
Babu nyemtumbo baba swalehe wacha kupagawa bwana,hapa uliambiwa issue ya birthday ya mtoto na yeye kutaka zawadi ya gari lakini baba hata zawadi ya kumu wish tu na hata kadi sio lazima ya kumpa iPhone 6 kama ulivyomzawadia nasra on her birthday, huyo mama noela wala hakutaji maskini na ameshamove on na maisha yake ni wewe tu utoto wako yani kweli kuachwa kunauma,mimi sio neema acha propaganda zako kwani sio kila mtu anayekujua wrwe kiundani ni mama watoto wako hebu pls grow up baba swalehe.
 
Hebu weka na hizi hapa uangalie jinsi ulivyozeeka hadi unaxheza na vitoto kama mwanao noela jamani dha baba swale umezidi sasa
 
Kama wewe sio mkewe kinachokuuma ni nini? Umesema tayari mkewe kashaendelea na maisha yake sasa wewe wa pembeni kuna haja gani ya kumdhalilisha lemutuz mitandaoni? Wakati mwingine epuka dhambi zisizo za lazima... pia ni utoto kulazimisha mtu atoe zawadi unayoitaka badala ya mtoa zawadi kutoa atakavyoona inafaa. Nikutahadharishe tu, jiandae kupambana na Noela huko mbeleni kwa hivi vitendo vya kumdhalilisha baba yake.
 

- Kila unapoakimbilia Social Media unanipa amani sana kwamba sikukosea kumkatalia Davis Mosha ulipomuomba sana nikurudie, pole sana ulidhani ni rahisi kupata Mwanaume serious na maisha kama mimi? pole sana ila I hope wengine hapa wanajifunza na ujinga wako sasa unadhani Social Media itakusaidia kunirudisha kwako? hahahahahahahahah pole ana wewe ni NEEMA NGWILULUPI wadanganye wengine sio mimi!!

le Mutuz
 

- Mkuu please usimpe kichwa mjinga huyu anajidhalilisha mwenyewe, kwanza alianza kupigia pigia simu mabebezz wangu kakwama, akaanza kuandika kwenye Facebook, baadaye akahamia hapa sasa anawatumia marafiki zake Instagram bado kakwama hahahaha Neema pole sana unajidhalilisha mwenyewe mimi huniwezi ni too big for your small mind, ungekua na akili usinge hangaika humu kwenye mitandao hahaha

le Mutuz
 
Bilionea anayelipiwa ticket ya kuruka na ndege kwenda dubai!

Haya nimaajabu ya karne!
 
Naona lemutuz unatuletea picha za uchi huku Jf unazopiga na makahaba wako hukoo meeda.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…