Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Yaan wanawake ombeni Mungu musipate mwanaume kama huyu, umri wote huu na huu mwili bado anahangaika kupiga piga vipicha. Wenzake wapo busy na family zao, busy na biashara, wanawaza wajenge magorofa yeye busy kupakata mabebezzzzzzHebu weka na hizi hapa uangalie jinsi ulivyozeeka hadi unaxheza na vitoto kama mwanao noela jamani dha baba swale umezidi sasaView attachment 319771 View attachment 319773 View attachment 319775
Na haya mengine anaweza kushindwa busara hata na msichana mdogo!Kuna wanawake hawajafundwa sielewi kwanini mama wa mtoto kuleta matatizo ya familia kwenye social media,maana hata Insta kafanya hivyo...