Happy birthday Noela William Malecela

Happy birthday Noela William Malecela

Status
Not open for further replies.
59-16=43

Kuna kitu cha kujifunza hapa kwa ambao hamujaoa

Umepita miaka 35 hujaoa, huna mtoto, una kizazi na uchumi unaruhusu unatamba kwa watu mimi bado nipo nipo...akili yako haiko timamu.

Labda urithi pekee wa Noela ni BLOG YA WANANCHI...
 
Uyu jamaa kwa kifupi namuelewaga sana.. kwa mujibu wa sheria kila mtu ana haki ya kuishi vile atakavyo so long as haingilii maisha ya mtu wala kuvunja sheria.. swala la yeye kuoa au kutooa halituhusu mimi na wewe.. ilo ni swala la kumshauri tu na wala si kumshambulia kwa maneno..
ndiyo maisha aliyochagua hayo..
Ila linalonisikitisha kwa uyu jamaa ni tabia yake kufanya vitu ambavyo mara nyingi havina ulazima.. showoff za uongouongo na kujikweza kusiko na sababu.. otherwise hayo ni maisha yake tumwache
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom