MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Thanks MJ1, babu yako anavyokupenda sijui umemlambisha nini!?
Mi nadhani it's about time ukaacha kushikilia dripu, babu amepona, anachofanya sasa hivi ni kudeka tu, hana lolote:lol:
Hahahahhaha Mwita afadhali umethubutu kulisema yaani amesharudisha mahari za watu kibao, wakati mwenzie mvi vishaanza kutoka kwenye vinyweleo!
We muache antampandisha presha na mimba ya shamba boy wake! ye anadhani mie sina mahitaji!
babu (though sijui ni babu wa rika gani maana hata watoto wanaitwa majina ya babu)nimeombwa nikutakie happy birthday.😛oahata kama umeacha kunicheka bado nalia.... Nina ombi (only if you don't mind) ili ninyamaze kabisa naomba mtakie babu happy belated birthday.... Pleeeease....:A S embarassed:
Hakosi 57.babu (though sijui ni babu wa rika gani maana hata watoto wanaitwa majina ya babu)nimeombwa nikutakie happy birthday.😛oa