Ndo producer aliyetengeneza hits kibao hapa bongo kwenye huu muziki wetu! Leo anatimiza miaka mingi hivi!! Kama Wewe mpenzi wa huu muziki wetu, katika miaka yote aliyoishi studio,ni biti gani aliitendea haki zaidi?
Kwangu mimi ni Mkasi ya Mangwair!
HBD mtoto wa kidachi, kinywele kimoko, mikono ya mungu, Godfather, Khalfan..
Okoa muda mwite P!