Happy Birthday P Funky Majani

Happy Birthday P Funky Majani

Happy b'day Majani..Kijana wa "aistii".

Beat ya Mikasi ni mkono wa Prof Ludigo japo vifaa ni vya majani
 
combination ya P funky, Ludigo na Bizman ilikuwa ni kali wakati huo. happy birth day P funky
 
Happy birthday P.Majani kila la heri katika harakati zako hakika mpango wako wa haki miliki unaelekea pazuri. Una ndoto nyingi sana hope one day u gonna fulfill u'r dream. All the best Khalfani a.k.a. The Dream Big.
 
Back
Top Bottom