Happy birthday Paw

Happy birthday Paw

Valentina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
24,684
Reaction score
28,777
Siku kama yaleo miaka mingi kidogo iliyopita wazazi,ndugu pamoja na jamaa zako walikua na furaha kukupokea kiumbe wewe na kukukaribisha kwa shamrashamra zote katika sayari hii dunia...

Umekua ni rafiki mwema na umekua msaada kwa rafikizo na jamii ikuzungukayo,sina pesa za kukuhonga ili furaha yako izidi wala sina Nissan nyeupe wala nyeusi ya kukupa isipokua napenda kukuambia

Life is very short,So enjoy every moment,Don't lose Ur confidence Go always ahead.Happy Birthday again Paw



Halafu unaonaje leo ikawa zamu yako ya kupewa ban? Ha haha...

King'asti


Rafiki zangu, nyie ndo mabosi wangu. Mnaponipa hizi wishes kwangu ni kama salary increase.

Ahsante sana kwa kunipa salaam na hongera.

Nawapenda nyote (ban haihusiki hapa)
 
Back
Top Bottom