Happy birthday Paw

Happy birthday Paw

Haya mama.... ila hii birthday ya kuwish wengine iwe ya mwisho. Huyu tena nimemstahi tungeifuta
Ha haha, sawa baba nimekoma sirudii tena...

Si wajua ur wish is my command[emoji8]
 
na unatakiwa ufuate[emoji7] .
Naifuata mpenzi kwako sina ujanja wa kupindua...

Mahaba unipayo ni ya 3D umeteka mwili fikra na moyo wangu naanzaje sasa kutokufata agizo lako baba?
 
Rafiki zangu, nyie ndo mabosi wangu. Mnaponipa hizi wishes kwangu ni kama salary increase.

Ahsante sana kwa kunipa salaam na hongera.

Nawapenda nyote (ban haihusiki hapa)
 
Back
Top Bottom