Hapana bamdogo sijabadili gia angani yaan huwa nahisi Paw ni wewe sijui kwa nini halaf hisia hazinipotezi kabisa naziamini sanaWewe usibadili gia njiani baada ya mimi kukuqoute sema huwa unahisi paw ni nani? Mamdogo sikuhizi unabadilishia gia angani hivyo??
Mmh unamteteaHa haha sio baba claree wangu bana ni mwingine
Haya mama.... ila hii birthday ya kuwish wengine iwe ya mwisho. Huyu tena nimemstahi tungeifutaSasa ndo usipotee hivo baby upweke utaniua mwenzio, na si wajua nina allergy na huo upweke
Hapana bwana huyo jamaa ni huyo mimi ni mimi.Hapana bamdogo sijabadili gia angani yaan huwa nahisi Paw ni wewe sijui kwa nini halaf hisia hazinipotezi kabisa naziamini sana
Mmmh...
na unatakiwa ufuate[emoji7] .Ha haha, sawa baba nimekoma sirudii tena...
Si wajua ur wish is my command[emoji8]
SawaAnakuja saivi msubirie hapa hapa usiondoke
Wacha weeeh ebu mwambie Paw anipigie niisikie sauti yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana bwana huyo jamaa ni huyo mimi ni mimi.
mbona ningeshakupa umod msaidizi sasa au shangazi yako.
Acha roho mbaya vale ebu mwambie anipigieHa haha usijeukatetemeka tu lakini mana sio kwa jisauti lile jamani
Unataka nikuhonge nini etiHebu fanya kunihonga Kwanzaa bana mkono mtupu haulambwi[emoji4]
Wivu sina ila roho inauma