Happy Birthday Queen Elizabeth II 90 yrs old

Nina wasiwasi na hizo picha zinaweza kuwa za nyuma sana. Sio muonekano wake wa sasa
Hayo ni mawazo ya kibongobongo. Wenzetu hawako hivyo akichakachua picha tu wanamshtukia mapeeeema na media itamuumbua kesho yake.
 
Haki ya mungu, mama yangu pale kijijini miaka 93 hata kutoka nje hawezi tena;
........... Long life malkia..........
 
Duh bado yupo vizuri. Looh kweli hela ni kila kitu
 
Charles anazeeka haraka zaidi ya Elizabeth
 
Watumwa wa fikira bado hamjajua kwanini tupo hapa????kweli nimeamini utumwa sio lazima kamba na gengele mmekuwa kama Mandera?
 
Kibongobongo Prince Charles angemuendea kwa Mganga tu amtangulize Elizabeth ili asombe Crown chige
Umeona enh!! Mwafrika akubali kuzeeka na kutokalia kiti wakati anakiona hivi hivi kinamtazama kiulainii! Kama asinge-restisha in peace kabisa angetoa dozi ambayo ingemfanya aachie kiti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…