Happy Birthday Queen Elizabeth II 90 yrs old

Happy Birthday Queen Elizabeth II 90 yrs old

Mkuu Kituko mbona mimi naona wote weupe??Kwani huyo mweusi Charlote yukwapi?
Unajua royal familia za zamani za ulaya hasa Portugal walikuwa wanaamini kwa kiasi fulani mtu mweusi ana uwezo fulani mkubwa wa kiakili, na hiyo ilitokana na safari ambazo hao Wareno walizifanya kuzunguka Dunia,
So Wareno walichagua cream nzuri (sura, Akili) kutoka miongoni mwa watu weusi so huyo queen Charlotte ni damu ya black Royal family ya Kireno ya Margarita de Castro de Souza, Wajerumani nao wakaingia Ureno kwenye hiyo damu ya watu weusi wakachota madini, na Waingereza pia wakaingia Ujerumani kuchota vipaji kutoka kwa damu hiyo Nyeusi na ndio King George III akamuoa huyo Queen Sophia Charlotte akiwa na miaka 17, September 8, 1761

Wazungu wa miaka na kizazi hichi hawaitaki kabisa hii historia

CC😡Cognitio
 
Kwa kifupi
Crown haitakwenda kwa Charles...itakwenda kwa William
Charles hawezi kuwa mkuu wa church of England kutokana na mitihani aliyopata kwenye ndoa zake.
Kuna mtabiri mmoja wa hapa Tanzania, kwa sasa ni marehemu, alisemaga (miaka kama 15 iliyopita), kuwa Queen Elizabeth akifa, Crown inaenda moja kwa moja kwa Prince William (Charles hawezi kuwa King).

Na Prince William ndiye atakuwa wa mwisho kutawala hapo United Kingdom. Baada ya hapo mambo ya ufalme na umalkia yatakoma, yatakomea kwa Prince William.

Nasubiria utabiri huo utimie.
 
Huwa nafikiria sana huyo Mumewake..walikutana wapi?..na alianzaje anzaje kumtongoza?..
 
Back
Top Bottom