bado upo pale wizaraniHaki ya mungu, mama yangu pale kijijini miaka 93 hata kutoka nje hawezi tena;
........... Long life malkia..........
Unajua royal familia za zamani za ulaya hasa Portugal walikuwa wanaamini kwa kiasi fulani mtu mweusi ana uwezo fulani mkubwa wa kiakili, na hiyo ilitokana na safari ambazo hao Wareno walizifanya kuzunguka Dunia,Mkuu Kituko mbona mimi naona wote weupe??Kwani huyo mweusi Charlote yukwapi?
Kuna mtabiri mmoja wa hapa Tanzania, kwa sasa ni marehemu, alisemaga (miaka kama 15 iliyopita), kuwa Queen Elizabeth akifa, Crown inaenda moja kwa moja kwa Prince William (Charles hawezi kuwa King).Kwa kifupi
Crown haitakwenda kwa Charles...itakwenda kwa William
Charles hawezi kuwa mkuu wa church of England kutokana na mitihani aliyopata kwenye ndoa zake.
Ipo siku atapata shida...hajawai pata shida tangia hata mimba yake haijatungwa
Wanafiki sana hawa watu, bure ya bure, bado twahitaji mali zetu TZHappy Birthday Queen Elizabeth II 90 yrs old