Nina namba hatar, we siku jaribu ku guess passwords zangu, passowrd ina jina la warumi na mwaka wangu wa kuzaliwa so kazi kwako, kila la kheri, maana nina mi namba kwa pm yangu hatar, watu wananifowadia tu , yaan nina ma ubuyu nimeyaweka pending nikiyalipua hapatakalika humu
Mi binamu sitaki kupoteza muda kuanza kuguess password yako...mi nataka namba za wamwaga mpunga bhana... zirushe pm nikiamka tu naanza kazi...
Hadi kusmile wameanza kufanana sasa. Happy birthday Reg
We nae ulipotezwaa na ngoma etii"!!!au dengue
Hiyo mimi sijui, akili kukichwa apo, mm sitak hela wala nn, ni yeye mwenyew achague atanipa nn
Nina namba hatar, we siku jaribu ku guess passwords zangu, passowrd ina jina la warumi na mwaka wangu wa kuzaliwa so kazi kwako, kila la kheri, maana nina mi namba kwa pm yangu hatar, watu wananifowadia tu , yaan nina ma ubuyu nimeyaweka pending nikiyalipua hapatakalika humu
Kwani Mengi ana mke?
Wivu huo.
Wanaendana vizuri sana na mie sioni hata kama kuna taswira ya ubaba na mtoto
Wivu huo.
Wanaendana vizuri sana na mie sioni hata kama kuna taswira ya ubaba na mtoto
Hawa wazee ndio wanakufaga ghafla kwa matumizi ya viagra.miaka 80 bila viagra huwezi kumpiga kazi binti wa 30s bila viagra.nyie subirini tu hizi tamaa za ngono zitamuumbua
Long tym ana mke anaitwa mercy kma sikosei ila mda hawako pamoja kinyumba
Unamaanisha Mengi ana mtoto mkubwa kama baba wa Jacqueline??? dah babu na mjukuu!!! hii kali!! uzee mwisho kibosho machame?Anamke wa Ndoa ya Kanisani na Watoto Wakubwa kama Ntuyabaliwe !
Yaani miaka kama 20 mkuu hakuna mahusiano ya unyumba. Ila bado ni shareholder na signatory. So wako kibiashara kwa ajili ya kuimarisha mali kuliko split.