Happy birthday Reginald Mengi

Happy birthday Reginald Mengi

Status
Not open for further replies.
Nina namba hatar, we siku jaribu ku guess passwords zangu, passowrd ina jina la warumi na mwaka wangu wa kuzaliwa so kazi kwako, kila la kheri, maana nina mi namba kwa pm yangu hatar, watu wananifowadia tu , yaan nina ma ubuyu nimeyaweka pending nikiyalipua hapatakalika humu

Mi binamu sitaki kupoteza muda kuanza kuguess password yako...mi nataka namba za wamwaga mpunga bhana... zirushe pm nikiamka tu naanza kazi...
 
Mi binamu sitaki kupoteza muda kuanza kuguess password yako...mi nataka namba za wamwaga mpunga bhana... zirushe pm nikiamka tu naanza kazi...

Nitumie kwanza picha zako pm, picha wanazopigaga akina kim nione kama kwel cv ni nzur ama vp, tunapima kwanza kabla hatutajepelek kwa boss
 
Ukiangalia saaanaaa hiyo picha daah jamaa hapo anaibiwa tu. Anyway happy birthday babay ake kylin sijui anatimiza miaka mingapi sasa
 
Leo ndio nimeamini
 
Attachments

  • 1401391346982.jpg
    1401391346982.jpg
    13.9 KB · Views: 278
Nina namba hatar, we siku jaribu ku guess passwords zangu, passowrd ina jina la warumi na mwaka wangu wa kuzaliwa so kazi kwako, kila la kheri, maana nina mi namba kwa pm yangu hatar, watu wananifowadia tu , yaan nina ma ubuyu nimeyaweka pending nikiyalipua hapatakalika humu

Jamanii yaan mi ubuyu utsnipita binam,subiri kwanza muda upite kama wikii ndio uyamwageee etii nikikosa umbea ntaumwaaa haki ya Mengi
 
kweli love doesnt ask why and its blind...hawaendani kwa kweli..its like baba na binti yake..anyway happy birthday Mr.Mengi...

Wivu huo.
Wanaendana vizuri sana na mie sioni hata kama kuna taswira ya ubaba na mtoto
 
Wonderful. Happy birthday our hero. Kila mwanadamu hapa duniani anahitaji furaha. Pesa si kitu bila furaha. If you missed it you will find it somewhere else.
 
Wivu huo.
Wanaendana vizuri sana na mie sioni hata kama kuna taswira ya ubaba na mtoto

hahahaaaa kuna vitu vya kuonea wivu sio hili..hii kwangu ni kichefu chefu just imagining this father and daughter couple doing........... you fill in the blanks.

Mzee Mengi ana watoto wakubwa kuliko Jacki but if they are in love and happy together I wish them all da best, otherwise kuna mmoja anamwibia mwenzie
 
Hawa wazee ndio wanakufaga ghafla kwa matumizi ya viagra.miaka 80 bila viagra huwezi kumpiga kazi binti wa 30s bila viagra.nyie subirini tu hizi tamaa za ngono zitamuumbua

Ukweli ndio huo ila kwa kuwa wanapendana watajua cha kufanya. Mama mkubwa atakuwa ameshabariki pengine maana hii relationship seems a bit official ukilinfanisha na Llian na Madame Ritta waliopita.
 
Long tym ana mke anaitwa mercy kma sikosei ila mda hawako pamoja kinyumba

Yaani miaka kama 20 mkuu hakuna mahusiano ya unyumba. Ila bado ni shareholder na signatory. So wako kibiashara kwa ajili ya kuimarisha mali kuliko split.
 
Anamke wa Ndoa ya Kanisani na Watoto Wakubwa kama Ntuyabaliwe !
Unamaanisha Mengi ana mtoto mkubwa kama baba wa Jacqueline??? dah babu na mjukuu!!! hii kali!! uzee mwisho kibosho machame?
 
Yaani miaka kama 20 mkuu hakuna mahusiano ya unyumba. Ila bado ni shareholder na signatory. So wako kibiashara kwa ajili ya kuimarisha mali kuliko split.

Ndio wako kibiashara coz mama ni shareholder istoshe hamna talaka hapo,pia watoto nao ni shareholder mimi naona hapo ni sawa.cyo mnaachana kwa matusi na mipasho kila m2 ajue
 
Kweli Mzee wa Kimachame kamtuliza toto la kihaya hafurukuti?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom