Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Kwani hayo mafuta mwapakwa wapiusiniambie ni mabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hayo mafuta mwapakwa wapiusiniambie ni mabaya
JamaniiiiUsijali my. Ndio mana mpaka sasa kaka T hajaamka kwa jinsi alivyosubiria siku mpya.
Zamu yangu leo keki wapi?[emoji23] [emoji23]
Sasa utumbo uko wapi. Sakayo ndio kakuchagua ufuate keki.weee ujue nina ndoa na ninaipenda sana usinitafutie balaa aje hapa aone utumbo wako auhamini lerato na inna ebu njoeni kwa mume wenu
tunaomba sadakaShida nini mama sema!
Kama yule msanii labda?Kwani hayo mafuta mwapakwa wapi
Unatakiwa uwe mbishi na weweSi kwasababu siwezi kuwajibu.
Inshallah.Oooh
Tuombeane heri bhasi
Usijali my wi. Uwe na wakati mzuri katika maandalizi ya kusubiri hiyo keki kutoka kwa my kaka T. [emoji8] [emoji8]Jamaniiii
Pole yake....
Keki mpaka kakako aamke akanunue bhana
Njoo uchukuetunaomba sadaka
Mimi birthday yangu ilikuwa juzi. Tar 7/6 nikamualika mtoto wa jf geto. Demu kauzu kama kachanjiwa.Hahaha. Wewe jamaa hauna bathdei nini au ndiyo wale mliozaliwa kipindi cha kiangazi
MmmmhHapo sawa. Agiza supu ya upupu popote ulipo deni waandike jina la babu
Sasa kutukanana JF sehemu ambayo hauwezi kumpiga mtu si ni sawa na kuliamsha dude na kuliacha limesimamaUnatakiwa uwe mbishi na wewe
HahahaKaone. Uso mkavu kama mgongo wa mamba
Khaaaa yani ujue wewe ni katuniiitunaomba sadaka
hahahhAlifanyaje kwani....
Sijui kwa nini watu wanamuoneaga hivyo Daby... Mbona yuko peace sanaa
unasemaaaa [emoji15]Yamekuwa hayooo tena...
Nilimwambia hakuna awali mbovuu bhana, babu ni wangu tuu
[emoji2] [emoji2] bamdogoSi kwasababu siwezi kuwajibu.