HahahaKama yule msanii labda?
Hahaha. Toka nikupe Jirani yangu naona haumfanyii kazi . Kama umemshindwa mrudishe aseehMimi birthday yangu ilikuwa juzi. Tar 7/6 nikamualika mtoto wa jf geto. Demu kauzu kama kachanjiwa.
Niishie tu hapo.
walitunyima cake yao kwa Daby au umesahauPunguza Uchoyo Jamaniiii
Asante my wiiUsijali my wi. Uwe na wakati mzuri katika maandalizi ya kusubiri hiyo keki kutoka kwa my kaka T. [emoji8] [emoji8]
Kua uyaoneunasemaaaa [emoji15]
[emoji2] [emoji2] na chapatiHapo sawa. Agiza supu ya upupu popote ulipo deni waandike jina la babu
Mimi huyo harakati zanguu. Hahah uzuri anamjua mbaya wakeNahisi kuna mtu ashalipeleka.... Mbona siku hizi anaandamwa hivyo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hampatiii cakeKaone. Uso mkavu kama mgongo wa mamba
HongeraMimi birthday yangu ilikuwa juzi. Tar 7/6 nikamualika mtoto wa jf geto. Demu kauzu kama kachanjiwa.
Niishie tu hapo.
Mkitunyima yenu ya Taifa ipo tutaila.[emoji2] [emoji2] [emoji2] hampatiii cake
Jirani yako hujamuona anatapika tapika?Hahaha. Toka nikupe Jirani yangu naona haumfanyii kazi . Kama umemshindwa mrudishe aseeh
Eti kauzu haha
cheka tu bday gal siku yako hiiHahaha
Yaani Nimecheka mnoo
Nini hasira hivyo
ziweke hapa hapaNjoo uchukue
HahahaSasa kutukanana JF sehemu ambayo hauwezi kumpiga mtu si ni sawa na kuliamsha dude na kuliacha limesimama
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nahisi kuna mtu ashalipeleka.... Mbona siku hizi anaandamwa hivyo
Anasema sio yako ile niya mwanapolo mmoja hiviJirani yako hujamuona anatapika tapika?
Sasa kazi gani unaitaka zaidi ya hio
Umesikia vibayaunasemaaaa [emoji15]