[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona haujasema tukuwish jamaanMimi birthday yangu ilikuwa juzi. Tar 7/6 nikamualika mtoto wa jf geto. Demu kauzu kama kachanjiwa.
Niishie tu hapo.
hahahhKhaaaa yani ujue wewe ni katuniii
Haya chukua 10000ziweke hapa hapa
Ya taifa inaliwa na bashiteeMkitunyima yenu ya Taifa ipo tutaila.
Halafu T mjanjaa uzi kauweka usiku wa manane alimaanisha nini [emoji23][emoji23]
Sijasahau ujuewalitunyima cake yao kwa Daby au umesahau
Mgumu ndiyo kuwaje vile.Hahaha
Sio lazima kutukana, Wala sikushauri utukane.... We kuwa mgumu
ndio nayaona bamdogo ningekuwa T ningeufuta huu uziKua uyaone
AiseeeeMimi huyo harakati zanguu. Hahah uzuri anamjua mbaya wake
[emoji2] [emoji2]Mimi huyo harakati zanguu. Hahah uzuri anamjua mbaya wake
Teh ndiyo maana ananenepeana siyoYa taifa inaliwa na bashitee
hivi umewekwa usiku wa manane [emoji2] au alitaka kuwawahi wakina babuMkitunyima yenu ya Taifa ipo tutaila.
Halafu T mjanjaa uzi kauweka usiku wa manane alimaanisha nini [emoji23][emoji23]
Mmh.ndio nayaona bamdogo ningekuwa T ningeufuta huu uzi
bamdogo ukujeUmesikia vibaya
Asante Compact nawe pia Mungu akutunze jamaniHappy Birthday Paahe.
Mungu akujalie maisha marefu mbeleni na yenye baraka tele.... Injoo kimayan Engai.
ndio nini hiyooHaya chukua 10000
Birtdday yangu imeangukia sawa tarehe mama yetu alipotuacha.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona haujasema tukuwish jamaan
nakushangaa ujueSijasahau ujue
Hahaha. Wewe ni chizihivi umewekwa usiku wa manane [emoji2] au alitaka kuwawahi wakina babu
unanigeukw sasaMmh.
Kwambabamdogo ukuje