Sawaaaamtume tu hakuna namna
Aiseeeebasi acha niawekee sakayo
Asantejaman pole dada angu
Mmmmhnawekaaaaaaa
Ulisema pole saaana dadasijui mie nikumbushe
Mme wako anajua natania niweke ipii ile umebeba handbag umesimama au ile nyingine umekaaPunguza ukorofi bhana, Kivuruge sio mtu mzuri
Tumeni cake basiAcha hizo bhana Shunie
HahahaMme wako anajua natania niweke ipii ile umebeba handbag umesimama au ile nyingine umekaa
mimi apa Dada kuna nini kwaniAiseeee
Shunie lakini.....
Nitamuuliza Baba D kama T kamtumiaSawaaaa
Mme wako si mbishi analeta za kichuga hapaMmmmh
Kumbe hunijui THahaaaa!
Hawezi kuweka! Labda angekuwa na akili kama zangu...
T anasema siweziHahaha
Usiweke bhana
Ko na wewe ungewekaHahaaaa!
Hawezi kuweka! Labda angekuwa na akili kama zangu...
Nakutumia nzimaTumeni cake basi