Happy Birthday Sakayo.

Happy Birthday Sakayo.

Unapendwa hadi nikasikia ka wivu. Duuuh hizo maneno ulizoambiwa na Mr T zimezidi hela my love. Congrats for having a man who knows your value. Hayo maneno yametoka kwa mtima wake kabisa alivyokuwa anatiririka.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji8]
Yaani dadangu mwenyewe nimeishiwa maneno.....

Namshukuru Mungu kwa kweeli kumpata mwanaume wa kipekee
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wapii mamaaaa lee ....pedesheeee wenyeweee kwa mbaliii wanaingiaaaa....

Dj wekaaa kwaitooooo pedesheeee na wakeee wanaingiaaaa mc huyo bhinamu.

(Kwaito )apo dj anaipiga haswa tunaachiwa uwanjaa ...hiyo siku ya harus sipat pichaa
 
Hhaha hivi si ulisema utawawekea kisingeli au umesahau
 
Back
Top Bottom