[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mke wa pedeshee lee muntu ya peremende ...
Tuanzie wapi kugombana ...ndo naona now mdogo wako ajanambia kuwa leo wazaliwaAsante shemeji
Hivi Tumegombana Lee
Yaani dadangu mwenyewe nimeishiwa maneno.....Unapendwa hadi nikasikia ka wivu. Duuuh hizo maneno ulizoambiwa na Mr T zimezidi hela my love. Congrats for having a man who knows your value. Hayo maneno yametoka kwa mtima wake kabisa alivyokuwa anatiririka.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji8]
Baba D hiyo S ni sakayo au safinaHappy birthday sakayo ...japo nimechelewa kuona sio kosa ....
Sijutii kufamihana na wewe japo saa nyingine unanitishiaa kuninyonga ila wewe ndo sakayo mke ya T dadake S
Bora ume appreciate duuuh, wa hivi wako wachache.Yaani dadangu mwenyewe nimeishiwa maneno.....
Namshukuru Mungu kwa kweeli kumpata mwanaume wa kipekee
Wapii mamaaaa lee ....pedesheeee wenyeweee kwa mbaliii wanaingiaaaa....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
mhTuanzie wapi kugombana ...ndo naona now mdogo wako ajanambia kuwa leo wazaliwa
Wewe ni safina ??Baba D hiyo S ni sakayo au safina
Kwani umenambiaa ??
Ungeandika jina lote jamanWewe ni safina ??
Hhaha hivi si ulisema utawawekea kisingeli au umesahauWapii mamaaaa lee ....pedesheeee wenyeweee kwa mbaliii wanaingiaaaa....
Dj wekaaa kwaitooooo pedesheeee na wakeee wanaingiaaaa mc huyo bhinamu.
(Kwaito )apo dj anaipiga haswa tunaachiwa uwanjaa ...hiyo siku ya harus sipat pichaa
Nilikupm haujanijibuKwani umenambiaa ??
Au ningeandika cUngeandika jina lote jaman
MhAu ningeandika c
Weeee hicho kunapigwa katikaHhaha hivi si ulisema utawawekea kisingeli au umesahau
[emoji2] [emoji2] ulisema hamna kwaito utaweka hiyo nakumbukaWeeee hicho kunapigwa katika
Mwambie yaan kwanza imekuwa bahatMh umeanza lee ujue sio mtembeaji
Nakumbukaaa....[emoji2] [emoji2] ulisema hamna kwaito utaweka hiyo nakumbuka
Nilimwambia toka mwanzo haujafika alinipa salam zako nikwambie eti mmegombana niniMwambie yaan kwanza imekuwa bahat
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbukaaa....
Sasa tukiingiaa na haina ushemejii na mm pedeshee peremende sii watu watagunaaa...hiyo tunaifanya suprises