Happy Birthday Sakayo.

Asante mdogo wangu wa dar, mke halali wa Lee....

Tunambatiza kwanza D ndo kwaito jamani....

Penda wewe sana mdogo wangu.... Hivi si tulisema tuisimamishe jamani
he he kuisimamisha lazima si kwa uzee huu unaokuja haraka ujue naziona mvi kichwani mwako usije ukaniambia ni za ukoo na wakati umri umeenda
 
he he kuisimamisha lazima si kwa uzee huu unaokuja haraka ujue naziona mvi kichwani mwako usije ukaniambia ni za ukoo na wakati umri umeenda
Hahaha
Umesahau hizi Mvi ni za utajiri bhana..... Halafu mpaka saivi Sijaona keki, nimetoka church [emoji547] nikikimbia kweli nikijua nakuta keki
 
JF bwana, sakayo kiuhalisia ni mke wa mtu. Ila hapa jf ni mke wa mtu mwingine.
Kidume trans umetumia muda wako nguvu zako kumtungia mke wa mtu mashairi(nimewanza nje ya box kama kigwangwala)
 
JF bwana, sakayo kiuhalisia ni mke wa mtu. Ila hapa jf ni mke wa mtu mwingine.
Kidume trans umetumia muda wako nguvu zako kumtungia mke wa mtu mashairi(nimewanza nje ya box kama kigwangwala)
Kiuhalisia Transcend ndo mume wangu halali nje ya jf, tuna watoto tayari na wa kwanza aitwa D....

Ni wish basi happy birthday bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…