Happy Birthday Sakayo.

Happy Birthday Sakayo.

Asante mdogo wangu wa dar, mke halali wa Lee....

Tunambatiza kwanza D ndo kwaito jamani....

Penda wewe sana mdogo wangu.... Hivi si tulisema tuisimamishe jamani
he he kuisimamisha lazima si kwa uzee huu unaokuja haraka ujue naziona mvi kichwani mwako usije ukaniambia ni za ukoo na wakati umri umeenda
 
he he kuisimamisha lazima si kwa uzee huu unaokuja haraka ujue naziona mvi kichwani mwako usije ukaniambia ni za ukoo na wakati umri umeenda
Hahaha
Umesahau hizi Mvi ni za utajiri bhana..... Halafu mpaka saivi Sijaona keki, nimetoka church [emoji547] nikikimbia kweli nikijua nakuta keki
 
Happy born day Sakayo wa T

Nimefikiria sana maneno mazuri ya kuanza kuandika ujumbe huu wa kukutakia heri ya za siku hii muhimu kwako..

I ’m so lucky that I have such a beautiful and precious relationship with you..! You are the gift that completes my life..the woman that makes me the man i wanted to be..

It's nice feelings when you someone loves you but feels much better when you know that someone never ever forgets your birthday..

Mungu akupe maisha marefu ya yenye furaha...niendelee kuona lile tabasamu lako kila siku ijayo kwa Mungu..

I am speechless...! No more words to express the feeling i have.. you will always be my happness..
6fa55018612f7e6f6fa6fa849af8ac10.jpg
956921c7172c7b1439016718b00f4f68.jpg

Happy born day Sakayo wa Transcend.

Happy born day my beautiful

Happy born day to this lovely woman

Happy born day to jaan! My sweetie! My lovie..
JF bwana, sakayo kiuhalisia ni mke wa mtu. Ila hapa jf ni mke wa mtu mwingine.
Kidume trans umetumia muda wako nguvu zako kumtungia mke wa mtu mashairi(nimewanza nje ya box kama kigwangwala)
 
JF bwana, sakayo kiuhalisia ni mke wa mtu. Ila hapa jf ni mke wa mtu mwingine.
Kidume trans umetumia muda wako nguvu zako kumtungia mke wa mtu mashairi(nimewanza nje ya box kama kigwangwala)
Kiuhalisia Transcend ndo mume wangu halali nje ya jf, tuna watoto tayari na wa kwanza aitwa D....

Ni wish basi happy birthday bhana
 
Back
Top Bottom