Happy Birthday Sakayo.

Mbina kama namuona kijana wangu Daby kanitag afu post siioni tena?
Ila kama upo heshima yako ndugu yangu.
Ukiona kimya ujue sijakutupa.
Ila ni rasmi kuwa nimeshaamua kuwa kama mzee Suleimani mzee mwenye hekima.
Katika pita pita zako ukikutana na relato au Inna uwaogope kama ukoma.
Hao mabinti wazuri kupita mabinti wote wa hapa duniani ndio mashemeji zako.
 
Haha.
Yaani hauoni post yangu ila unaona za watoto wa kike? Hahaha. Au hii teknolojia inabagua.
 
Yani umewaita hao warembo wangu.
Mimi sikumaanisha nakutongoza.
Ni typing error si unajua hizi smart phone.
Nilikuwa nataka kusema nakupongeza
unanipongeza kwa nini labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…