Ndiohata wewee
Haya bwanasiendi mie ngoja waje wake zake
Sio kwa kutulaza macho mi na kaka tukisubiri siku igeuke lol.Asante my wii
Naamini nitakionar kizazi changu cha nne
Tatizo lako haulali unamchungulia bamdogo wako. Hizo dhambi unazobeba sikusafishiutaelewa tu huyo ndio bamdogo mswati jana walifukuzwa kwenye uzi wa watu nilicheka sana
Hapana bhanaOouh.
Hapa nafukuzwa kisiasa
Hahahahahhahha ndiwooo au nikitaka kupakwa mafuta naenda kwa mwamposa ila miaka mingiii sijaenda kwake kwenye maombi kwake
usiongeze kwakweli bamdogo[emoji3][emoji3]
Haya bwana sina la kuongeza. Ila haya tu
Aa kipenzi changu emmy. Habari za asubuhi.Sio kwa kutulaza macho mi na kaka tukisubiri siku igeuke lol.
Barikiwa my wi. [emoji8] [emoji8]
hahhaha nilicheka sana aiseeHahaha
Uzi wa naniii
Wewe si ulishatutenga kisiasa bwana. Mzee mwenzangu aliomba kila aina ya msamaha lakini wapi.Karibuni sanaaa
Babu yuko wapiii
inna na relato mkuje jamaanKwani unataka kuninyima nini?
watakujaWako wapi sasaaa
ila rafiki wewe unanifurahishaga sana [emoji2][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Uuwii [emoji134] [emoji134] [emoji134] . Ivuga usinitafutie ngumi mie sina nguvu ujue.Aa kipenzi changu emmy. Habari za asubuhi.
Nimefurahi kukutia machoni
ndiwooo hivi hukumbuki hawapati kituKweli eeh
Ungekuwa hiyo redstone nyingine niliyotaja ningekujaHapana bhana
Mkuje bhasi
Babu atakua kapata mtu kamtekaKaribuni sanaaa
Babu yuko wapiii
Ndo maana nawapenda jamani....Sio kwa kutulaza macho mi na kaka tukisubiri siku igeuke lol.
Barikiwa my wi. [emoji8] [emoji8]