technically yes, mimi na wewe ni vilaza [emoji28][emoji28]kwa hiyo si wengine vilaza
Hahhahaha mnanichekesha sanaHahahaa. Alipotoka huko sijui kama simu hakuiweka kwapani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana ukiishika mkononi waeza ulizwa kulikoni umeshika simu usiku huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahaItakuwa July [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Et we zakayoSawa my dear
Hapana mkuu! But utakuwa kilaza if you wishes for it.kwa hiyo si wengine vilaza
Daah. Pole sana ndugu jitahidi kikamilike huenda na mie nikapatapo ajira. 😀😀Nipo najenga viwanda tu maana nimejikuta muda mwingi nautumia kujenga kiwanda cha kuchakata mafenesi ya kutoka shamba la sakayo
Hahaha hahaha hahahaDaah! Bora hukuijua.
Haya nasubiria hiyo Keki ikishafika uje uniite nipo hapa kwa Mama Kibiriti. [emoji3][emoji3]
Uuwiiii. Ilishapita mtani.Yako lini mtani
Nikutandikie Uzi nawe
Wenye mashairi mingi mingi
Ulikuwa wapi etiHahahhahaha chizi ww
Usijali wewe ni moja ya mameneja watarajiwaDaah. Pole sana ndugu jitahidi kikamilike huenda na mie nikapatapo ajira. [emoji3][emoji3]
Dear keki inatoka kwako, ndo naisubiria mimi jamaniii!!Daah siamini nimeikosa keki, nilikua wapi sijui,
Jamaniii Sakayo ndio umeongeza mwaka mwingine etii, ndio kusema unazidi kua mkubwa mkubwa eeh,
Basi Happy Birthday dear.
Hahaha hahahakuwa na amani mama ake
utafurahi mwenyewe nakuahidi, relax
Wasi wasi upi eti?
au hutaki nifikie kwako
Kwanza utume mahela mengi sio nakupm no uko utume kidogo
NdiwoooAaaah mafenesi
Mlialikana wenyewe tuUuwiiii. Ilishapita mtani.