Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Asante jirani using sahau kupitia pale tulipo kuwa tunanua juisi ya matango au umepasahauHakuna shida jiran angu wa faida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante jirani using sahau kupitia pale tulipo kuwa tunanua juisi ya matango au umepasahauHakuna shida jiran angu wa faida
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Happy born day kaka! Mungu akupe miaka mingi yenye furaha tele jamani
bugati au renji rova ipi itakufaaItume kwenye mpesa hebu!
Asante sana baba swalehe
Hahaha hahaha hahahaHahhaha mko na nini lakini
Teh ...Mimi niko miaka ya ujana kabisaaa... 28
Watume mahela mengi mengiMm naenda sio watume hela kidogo
Huku tuko vizr kabisa ndugu hofu hapo ulipoYabidi nishukuru kabla.
Vp lakini ndugu salama huko?
Ntamnunulia kila mtu zawad hapangoja kwanza chief, utakichefua kinini?
Nakuja jamani kakakeSawa naanda kiwanda cha kuchakata mafenesi naomba tuandikishe mkataba
Hahaha hahahasio uchochezi dada, huyo babu tatizo ana mikwara sana
Aah sakayoNo no no, sore Saa yuu jasti mistekini, itiz noti zakayo itiz puronausidi ezi Sakayo
Shikamoo rafiki yangu tulie poteana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]
Amen, naona umeamua kunifungulia baraka mapema...
lakini ujue unaniwaisha uzeeni hivyoo [emoji58][emoji58]
😀😀😀 umetia huruma Kaka kwa jinsi ulivyomuuliza. Lol.ngoja kwanza chief, utakichefua kinini?
Hahahhaha jinga ww
Jamani jamaniiLaiti ningekuwa nyumbani, ningekuandalia zawadi yako ili nikupatie, lakini bahati mbaya niko mbali na nyumbani, kibaya zaidi siwezi kufanya hata miamala yoyote.[emoji17][emoji17][emoji17][emoji2954]