Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmegawa vocha[emoji3][emoji3][emoji3] umetia huruma Kaka kwa jinsi ulivyomuuliza. Lol.
Akikujib nitag na mie nione hicho anachotaka kukichefua
cc. baba swalehe
Sawa utanikuta pale panapo itwa hotel ya nyota tatu jirani na baba swalehe paleNakuja jamani kakake
Saafi. Wanasema akili ni nywele Dada na zako naziona hapo kwenye Avatar. 🙈🙈🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Hahahhahaha ujue niliusave kabisa
Hahaha hahaha hahahaUsijali pasua kichwa!
Nilipofufukia nafikiri unapajua vizuri..Hahahaha
Uliniambia ndio umefikisha miaka 16 leo?
Baki kwa majiniazii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]
Amen, naona umeamua kunifungulia baraka mapema...
lakini ujue unaniwaisha uzeeni hivyoo [emoji58][emoji58]
Renji inatosha kabisaaabugati au renji rova ipi itakufaa
Nkikukulia ka roketi renja je ?!
Ooh. Sijaziona hata japo naona zinamfaa mwenye besidey. 😀Nmegawa vocha
Hujaziona hapo juu
Teh ...
Kufanya nini eti baba swaleheTeh ...
Inafaa [emoji28]
KwendaAmekuwa mzee jamani
Huku Alhamdulillah ndugu yangu. Tupo tunaimalizia siku hapa.Huku tuko vizr kabisa ndugu hofu hapo ulipo
aki si kwa kucheka uko mpaka gego la mwishoHahaha hahaha
Nimerelaksi tayari mimi
Wap TumosaMm apa napokea