Happy Birthday Sakayo

Beba keki jamaniii!
Maji ya kunywa utayakuta!

Mungu hapendi kuchuniana jamani!.

Wewe uliyemchunia Mgagaa na Upwa niko chini ya miguu yako! Naomba umsamehe, anateseka sana na hakuna kitu kibaya kama mtu kuishi bila amani! Please naomba umsamehe!
Natamani nimjue huyu kwakweli na mie niungane kumuomba msamaha. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nimewaza tu hivi ile meli iliyokuja na hii lugha na wewe jirani uliipandamo nini. [emoji12][emoji12]

Maana mpaka natafuta dikshenari hapa. Teh
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Hata sielewi imekuwaje eti jirani yangu!

Nani ameandika?! Sijakisoma kabisaaa hicho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…