Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hahaha hahahaDada umezeeka umekuwa bi tukinao
Nahisi hapa niko kabukuSenkyu dia... Yu a welikamu ini piemu
Khaaaa baki na zawadi zako na mahela yako
Sawa kabisaaa mdaka chozi ake auntie wanguBasi ngoja niangalie namna ya kuweza kuzifikisha pasua kichwa
Nini eti
WoyoooooooUber iko njian kuja huko
Hahaha hahaha hahahaHajawahi nipa salamu mdakachozi jamani
Utaratibu utume tu zawadi kwa mpesa
Natamani nimjue huyu kwakweli na mie niungane kumuomba msamaha. 😀😀😀Beba keki jamaniii!
Maji ya kunywa utayakuta!
Mungu hapendi kuchuniana jamani!.
Wewe uliyemchunia Mgagaa na Upwa niko chini ya miguu yako! Naomba umsamehe, anateseka sana na hakuna kitu kibaya kama mtu kuishi bila amani! Please naomba umsamehe!
Ukimaliza hesabu za wengineNdiwooo
Napenda zawadi kuliko pumzi
Naomba unieleweshe hebuuShughuli za kiuchumi/kijamii,umekua mkubwa sasa!
Asante nipo namsubir hapa tuwekeane mikataba ya kibiashara ndio tuje kujumuuika hapokaribu tusheherekee siku na mwezi wa dada yetu Sakayo
Hahaha hahaha hahaha hahahaNimewaza tu hivi ile meli iliyokuja na hii lugha na wewe jirani uliipandamo nini. [emoji12][emoji12]
Maana mpaka natafuta dikshenari hapa. Teh
Duuh! Pole.Nipe location please mtoto mzuri niiwahi na keki japo kuna mtu kanichunia hadi jf naiona chungu
MmmhhhuNiko apa mpokea zawadi jamani nakuja mm kuchukua
Khaaaa baki na zawadi zako na mahela yako
🙈🙈🙈🙈💃💃💃💃[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dada uko na nn lakini
kumbe mnafanya nae biashara!!! au ndio mnataka kuanza?Asante nipo namsubir hapa tuwekeane mikataba ya kibiashara ndio tuje kujumuuika hapo
Asante dadake
Nakuleteaaa