Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Ukimwona fikisha salamuHuyo toka amepandishwa cheo kawa adimu cc Tumosa
Daah! Sawa ndugu yangu.Mmmh hapana ndugu kwangu vigeni
Ndio ujue mwekezaji wa uhakikaWoyooooooo
Hahahhaha uchoyo wa nn sasa
Hiyo ni Iringa na njombe huku sisi tunakula sana ugali wa ndiziDaah! Sawa ndugu yangu.
Nasikia nyie mmezowea wale wa wanaobweka. Teh teh. [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Tunataka tuanze maana kiwanda change kimekosa bidhaa nae ndio analima hizo bidhaakumbe mnafanya nae biashara!!! au ndio mnataka kuanza?
The sweet words from you is my biggest gift on my born day, dear dada I mean I say!
You truly made my born day with the sweet words of yours, just like how chocolate enhance the taste of dessert, same way your wishes enhanced my born day!
I feel really blessed, thank you for your lovely wishes for my birthday Shunie!
Will always love you!!
Hahahaaaa. Itakuwa muda ulioandika nao ule kwani huwa akili inakuwa imetulia jirani. πππ ndio sababu ukakimwaga kiinglish cha kufa mtu. lol. Tena kile chenyewe. πππππHahaha hahaha hahaha hahaha
Hata sielewi imekuwaje eti jirani yangu!
Nani ameandika?! Sijakisoma kabisaaa hicho!
Yaani kizungu kigumu kuliko maisha yanguuuHahahaaaa. Itakuwa muda ulioandika nao ule kwani huwa akili inakuwa imetulia jirani. [emoji3][emoji3][emoji3] ndio sababu ukakimwaga kiinglish cha kufa mtu. lol. Tena kile chenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooh. Hapo sawa ndugu yangu.Hiyo ni Iringa na njombe huku sisi tunakula sana ugali wa ndizi