Happy Birthday Sakayo

Auntie wangu jamanii!
Keki yako ipo imejaa, ndo kwaaanzaa niko kitandani naikata mimi!!

Jamani jamanii auntie, nakupenda japo unanivuruga ila ndo ushakuwa autie wangu!!

Mwakani naanza kukuletea wajukuu wala usijali kabisaaa jamanii auntie!
Hiyo keki inayokatiwa kitandani jamani🙆🙆 kwani uko wapi?
 
Hiyo keki inayokatiwa kitandani jamani[emoji134][emoji134] kwani uko wapi?
Sina pa kwenda auntie, baridi ni kali!
Nimejifunika tuu, nikaimbiwa na mtu tatu nikawalisha narudi kulala...

Niko hapa mimi jamaniii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…