Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Asante Shem wangu mpyaSawa birthday Girl..Ngoja tukuletee Keki .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Shem wangu mpyaSawa birthday Girl..Ngoja tukuletee Keki .
Hakika!Amen dada upendo daima
Ndio nguzo ya yote kwa wanadamu
Hahah hembu panga mwenyewe siku ya kuonana naahidi sitakuangusha beby..Hata mimi nimekumiss wewe jamani.
Lini sasa twaonana? Maana siku hizi unafichwa kweli sijui ndo maandalizi ya ndoa au mapenzi yameisha hupendi hata kuniona tena
Tatizo uko mbali sasaaaI wish...
Thanks dear one!Happy birthady sis..
Wewe bwana na wagonjwa wako hukawii kusema umekabwaaHahah hembu panga mwenyewe siku ya kuonana naahidi sitakuangusha beby..
Moyo unaumaaaaaTatizo uko mbali sasaaa
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahahaWewe bwana na wagonjwa wako hukawii kusema umekabwaa
Nipeleke nikale sekela au mduduYes,nipo kwaajili yako beby..Aseme tu nitakupeleka..
Ewaaaaa tenaaaEwaaaaaaa
Hahaha hahaha hahaha hahahaAuntie ujue nakudai[emoji848][emoji848][emoji848]
Hiyo keki inayokatiwa kitandani jamani🙆🙆 kwani uko wapi?Auntie wangu jamanii!
Keki yako ipo imejaa, ndo kwaaanzaa niko kitandani naikata mimi!!
Jamani jamanii auntie, nakupenda japo unanivuruga ila ndo ushakuwa autie wangu!!
Mwakani naanza kukuletea wajukuu wala usijali kabisaaa jamanii auntie!
Pole mama tutakuwakilishaMoyo unaumaaaaa
Usijali..ombi lako limepita bila kupingwa..Nipeleke nikale sekela au mdudu
Sina pa kwenda auntie, baridi ni kali!Hiyo keki inayokatiwa kitandani jamani[emoji134][emoji134] kwani uko wapi?