The Crushing
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 569
- 903
Nimeolewa Mkuu
Usilie mama akeHahaha hahaha hahaha
Nitalia mimi jamaniii Sanchez!
Sawaa..kesho mchanaTwende mikocheni kesho nikakuonyeshe sehemu mpya ya mdudu.
Halafu unidanganye sasa
Sawa babakeUsilie mama ake
Nakuja na chupa la uji wa ulezi hapo
Pale kwa yule crush wako mweusi mwenye shape au pale tulipokutana na yule rafiki yangu?Kesho shem,anapajua tunapokulaga mdudu..
Thank you dear!More life
Asante kaka na kwako piaWakuu niwatakie jion njema majukumu mema nashukuru kwa ushirikano wenu nilipo kosea tusamehane
Maana nimefurahi kujumuika nanyi ndugu zangu tuombeane uzima tukipata kibali tujumuike kwa namna hii
Mungu awabariki ndugu zangu
Kwahiyo wewe sio mpenzi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ndo namuona leooHahhahaha mm wifi namjua kabisa
Usinilipizie tuu ntakumind hutaaaminiSawaa..kesho mchana
Ex ndio. Mume wa mtu wewe bby ushakuaUmesema Ex..
π π π π wooooiHahahhaha jamani halafu kaka angu kweli anaonekana bahili
Hahahah pale kwa Crush hapana,pale tulipokutana na rafiki yako yule..Pale kwa yule crush wako mweusi mwenye shape au pale tulipokutana na yule rafiki yangu?
Kesho nakupeleka sehemu ingine sasa
Auntie mbona mm ninao wawili usiniambie unataka niongeze wengineAuntie hope sijachelewa keki[emoji85][emoji85]
Heri ya siku ya kuzaliwa kwako kipenzi, panya mla vitenge vyangu. Nakupenda hivyo hivyo tafanyaje sasa na ndio mzigo wangu[emoji134]
Muumba mbingu na nchi akujaalie kila lililo kheri mama yangu, na uzidi kuwa na hekima na busara na uwarithishe na wajukuu zangu(speaking of wajukuu mwambie na Shunie msinitanie kabisaa nawahitaji wa kutosha hivyo anzeni kazi).
Nimetoka kumtoa wasap uko