Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Bado 8, hivyo kazana.Auntie mbona mm ninao wawili usiniambie unataka niongeze wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado 8, hivyo kazana.Auntie mbona mm ninao wawili usiniambie unataka niongeze wengine
Yani siku hizi kwa whatsup ,sijui huwa ana chart na nani nikiwa busy..Nimetoka kumtoa wasap uko
Pale nyama yao nshaichoka. Bora twende kwa barongo yaniHahahah pale kwa Crush hapana,pale tulipokutana na rafiki yako yule..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha wivu basi. Nitachat na nani mwingine sasa unahisi kama sio rafiki zangu?Yani siku hizi kwa whatsup ,sijui huwa ana chart na nani nikiwa busy..
Kesho utakua free sasa??Woyooooo
Shemeji ameshasema
Ok..tutaenda hapo.Pale nyama yao nshaichoka. Bora twende kwa barongo yani
Sawa love. Ndo maana nakupenda [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Ok..tutaenda hapo.
Marafiki gani hao wana ku keep busy kila siku,story haziishi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha wivu basi. Nitachat na nani mwingine sasa unahisi kama sio rafiki zangu?
Story za wadada hazijawahi kuisha yani..Marafiki gani hao wana ku keep busy kila siku,story haziishi?
Nakupenda pia love..Sawa love. Ndo maana nakupenda [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sitaki kudanganywa mscheewwwNakupenda pia love..
Nimemwambia tuu maanaHahahah chizi ww
Ana mambo huyu rafiki yako..akili zake anazijua mwenyewe..lakini nampenda hivyo hivyo.Mm siikubaligi hiyo shem