Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Natania tu mkwe,nilishakuelewaNaona kuna sehemu haujasoma nilikuwa situmii mm kule
sawa insta babe.... shughul nimeipata siwez kuzidisha tenaMungu ni mwema insta babe next time usizidishe kipimo
hahahaha.....kweli hapa huwez kutuelewa [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha hahaha
Hapa siwaelewi
Mungu wanguHahahha visiwa vya watu huko kwa waarabu
Hata sielewi kabisaaaKhaaaaaa we ndio mgaagaa
Babe we si mjeda
AiseeeHahhahahah na huwezi kutuelewa kabisa
Sawa bwana, nitafanya nini jamaniiihahahaha.....kweli hapa huwez kutuelewa [emoji16][emoji16][emoji16]
nimekoma insta babe... nasitisha rasmi operation kitambi kwanza umri umeshaenda six packs za nn mimi...Hahhaha na ukome kabisa
hahahah.... kwanza hivi Shunie anasemaje kuhusu ticket yakoSawa bwana, nitafanya nini jamaniii
Hahhahah kumbe ulikua unatengeneza six packs umempata mbebez mpya nn amekudanganya anataka kukuona ka six packsnimekoma insta babe... nasitisha rasmi operation kitambi kwanza umri umeshaenda six packs za nn mimi...
naendelea kupiga vitu vyangu tu [emoji23]
ahahaha... hamna niliona tu nikienda swimmin bro bro bro nyingi kisa kifrij akati me umri bado kabisa ndio kwanza nimetoka kucheza serengiti boys juzi juzi tuHahhahah kumbe ulikua unatengeneza six packs umempata mbebez mpya nn amekudanganya anataka kukuona ka six packs
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mtu mzito bwanaUpoje lakini insta babe